PlaneteAfrique
Déconnexion


Mashirika kusaidia uboreshaji afya ya mama na mtoto

Mashirika kusaidia uboreshaji afya ya mama na mtoto


Mashirika ya kimataifa yanayotoa huduma za afya ya wazazi na mwana  nchini yameahidi kuendelea kushirikiana na Serikali mkoani Rukwa katika jitihada zake za kutoa tiba na kinga katika maeneo yote  yenye miundombinu mibovu ya barabara, simu, ukosefu wa wataaalamu wa idara ya fya na uchache wa vifaatiba.



Mmoja wa wakurugenzi wa mashirika hayo ya Africare, Plan International na Jhpego bibi Sekai Chikomelo amesema vifo vingi vinavyotokea katika wilaya za Nkasi, Sumbawanga na Kalambo mkoani Rukwa vinatokana na ukosefu wa  mbinu sahihi za kukabiliana navyo.



Akishiriki katika matukio ya kukabidhi magari mapya ya kuwahudumia  wagonjwa maarufu kwa jina la ‘ambulance’  kwenye vituo vya afya vya Wampembe wilayani Nkasi na pia Mtowisa katika halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga, bibi Chikomelo na  bibi Wong wamesema kuwa mradi wa afya ya wazazi na watoto unalenga kupunguza idadi ya vifo vya akina mama wakati wa kujifungua kwa kuongeza vifaatiba, wataalamu na vyumba vya kupasulia.



Baadhi ya viongozi na wataalamu mkoani Rukwa wakiongozwa na mkuu wa wilaya ya Nkasi Idd Kimanta katibu tawala wa mkoa alhaj Salum Mohamed Chima na kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Rukwa Dr. Mtika walipata fursa ya kutoa nasaha zao juu ya umuhimu wa mazingira mazuri ya kukabiliana na maradhi.



Nswima Earnest, TBC Sumbawanga.




Last Updated ( Friday, 21 June 2013 09:26 )


 


Publicateurs
Devenez publicateur Partagez votre voix Racontez l'Afrique qui bouge

Touchez plus de 0 milliard d'Africains

Devenir publicateur →
Partager Partager

À lire aussi

TANZANIE
Getty Images On Friday, Walmart announced it will close 269 stores globally as it struggl...
1/26/2016 -  8060
TANZANIE
A major search is under way in the south of Iraq’s capital, Baghdad, after the kid...
1/26/2016 -  5722
TANZANIE
China’s Dalian Wanda Group will buy a controlling stake in Hollywood film studio Legendary Ent...
1/14/2016 -  5581
TANZANIE
There has been an explosion in a district of Istanbul popular with tourists, reports say, with sever...
1/14/2016 -  5448
TANZANIE
US President Barack Obama is to widen background checks on buyers of firearms, in a series of measur...
1/5/2016 -  5768
TANZANIE
Don’t let her diminutive size fool you: Kendall Jones, a cheerleader at Texas Tech, has faced ...
7/2/2014 -  3851
TANZANIE
Don’t let her diminutive size fool you: Kendall Jones, a cheerleader at Texas Tech, has faced ...
7/2/2014 -  3736
TANZANIE
Vice-President Mohamed Gharib Bilal has directed the Ministry of Tourism and Natural Resources to do...
6/25/2014 -  3933
TANZANIE
French club Valenciennes FC is interested in signing Rwanda international defender Salomon Nirisarik...
6/4/2014 -  3926
TANZANIE
UK yacht design studio Claydon Reeves has created a vessel billed as one of the fastest and most ele...
5/28/2014 -  4234
TANZANIE
Tanzania Women’s Bank Limited (TWB) has forged business links with Tanzanians in the Diaspora who wa...
5/21/2014 -  3463

TANZANIE - accès rapides

Actualités par pays

 

Newsletter


 
 
 
 
 
 

Actualités par pays

TANZANIE - accès rapides

Newsletter


 
 
 
 
 
E-commerce

WS-Webshop

Mobile Money intégré
  • Boutique clé en main
  • Gestion stocks incluse
Découvrir →