Wilaya ya Mbarali imekuwa wilaya pekee nchini kupata hati chafu ya matumizi ya fedha kwa mwaka 2011/2012 kutokana na kukosekana kwa udhibiti wa ndani wa fedha zinazoletwa na serikali....
Imeelezwa kuwa tatizo la ukosefu wa uwezeshaji kifedha katika sekta ya kilimo umekuwa ukichangia kuzorotesha maendeleo ya sekta ya kilimo nchini Tafiti iliyofanywa na taasis...
Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa miezi mitatu kwa watu wote walioingiza matrekta nchini ya kifungu cha msamaha wa kodi ili kuboresha kilimo nchini, wahakikishe zana hizo zinatumi...
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Injinia Christopher Chiza amekiri kuwepo kwa udhaifu katika sekta ya kilimo na kwa wauzaji wa teknolojia ya zana za kilimo. Waziri Chiza amese...
Kutokana na ongezeko la ajali za barabarani zinazosababishwa na Wapanda baiskeli na Waendesha Pikipiki, Polisi mkoani Tabora imeanza oparesheni maalum ya kuwakamata watu wote wanaokiuka sheria za...
Mashirika ya kimataifa yanayotoa huduma za afya ya wazazi na mwana nchini yameahidi kuendelea kushirikiana na Serikali mkoani Rukwa katika jitihada zake za kutoa tiba na kinga katika maeneo...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi - CCM itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa kuvichukulia hatua za kisheria vyama vyenye u...
Mawaziri wanne wa wizara mbalimbali wametembelea eneo linalotarajiwa kujengwa chuo kikuu cha Agakhan mkoani Arusha kinachotarajiwa kukamilika mwaka 2018. Katika ziara hiyo, Waziri...
Watuhumiwa watano wanaodaiwa kushiriki katika kitendo cha kumkata mkono Mlemavu wa ngozi Albino Maria Chambanenje wa kijiji cha Miangalua wilayani Sumbawanga wamefikishwa katika mahakama ya Hakim...
Wiki ya skauti duniani inayofikia kilele chake februari 22 ya kila mwaka imeadhimishwa katika wilaya ya ilemela mkoani mwanza kwa wanachama wa chama cha skauti wilayani humo kufanya usafi wa mazi...
Benki ya CRDB Tawi la mkoa wa Lindi imetoa vyandarua hamsini pamoja na vinywaji mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya mkoa huo ya Sokoine ikiwa ni kuungana nao katika kushereheke...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amesema licha ya wadau mbalimbali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali kumaliza tatizo la uhaba wa vitabu katika shule za msingi na sekondari...
Viongozi na wafanyakazi wa mashirika mbalimbali walioshiriki kuwarejesha kwao wakimbizi wa Burundi waliokuwa wakihifadhiwa katika kambi ya Mtabila wilayani Kasulu wamewaomba watanzania kuji...
Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Regina Chonjo amewataka wazazi wilayani humo kuchangia elimu ya watoto wao kwa kuwalipia ada, kununua sare za shule na kufuatilia kwa karibu maendeleo ya masomo...
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amekemea tabia ya baadhi ya watanzania kupoteza muda wao mwingi kwa kujadili mambo ya siasa, malumbano na kuongelea ya watu jambo ambalo linar...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Jakaya Kikwete ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Msata – Bagamoyo na kuwataka wakazi wa mkoa wa Pwani kutumia fursa zinazotoka...